Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na mgeni wake Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni baada ya kufungua rasmi jengo la Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Ijumaa Septemba 6, 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakisaidiwa na viongozi wengine wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa jengo la Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Ijumaa Septemba 6, 2019Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakitembezwa na Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere Julius Nyerere ndani ya jengo walilolifungua kwa pamoja jijini Dar es salaam leo Ijumaa Septemba 6, 2019