MWENYEKITI WANAWAKE NA SAMIA DODOMA AIPONGEZA NEMC KWA KUWAPA ELIMU YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Sekretariet ya Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Masuala ya Ushirikiano katika Usimamizi na Menejimenti ya Taka za Plastiki Bi. Clemence Schmid, Chamwino Dodoma
Katika mazungumzo hayo, Makamu wa Rais amesema serikali imedhamiria kushirikiana na wadau, sekta binafsi pamoja na jumuiya ya kimataifa katika kupambana na tatizo la taka za plastiki nchini. Amesema uzoefu unaonesha kwamba ushirikiano ni njia bora zaidi itakayowezesha kukabiliana na tatizo hilo kwani yapo maeneo ambayo taka za plastiki hutupwa …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasalimu maafisa ugani pamoja na wanaushirika kabla ya kuanza kwa kikao maalum na maafisa hao kilichofanyika Ikulu Chamwino, jijini Dodoma
Katika kikao hicho, Rais Samia alisisitiza umuhimu wa ushirikiano kati ya serikali, maafisa ugani, na wanaushirika katika kuboresha sekta ya kilimo na kuinua uchumi wa taifa kupitia maendeleo ya kilimo nchini. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Kamati Ndogo ya Kilimo, Maliasili, Mazingira na Utalii chini ya Uongozi wa @dr_makame inaendesha vikao na wadau wa sekta hizo jijini Bujumbura Burundi Kamati hiyo inatazamia kuwa na kikao kama hicho tarehe 8 Februari jijini Dodoma -Tanzania #Nahayandiyomatokeochanya+
RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BI JAMIE COOPER
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bi. Jamie Cooper ambaye ni Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Big Win Philanthropy, Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 2 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Bi. Jamie Cooper …
Soma zaidi »