JIJI LA DODOMA

MKEMIA MKUU WA SERIKALI NDIYE SHAHIDI MKUU WA KITAALAMU KATIKA KESI ZINAZOHUSISHA DAWA ZA KULEVYA

Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imeendelea kuwa mhimili mkuu katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini kwa kutoa ushahidi wa kitaalamu wa kisayansi unaotumika mahakamani kuhakikisha haki inatendeka. Kupitia maabara zake za kisasa, GCLA hupokea na kuchunguza sampuli zote za dawa za kulevya zinazokamatwa katika …

Soma zaidi »

🔴 LIVE: RAIS SAMIA KUHUTUBIA BUNGE LEO JIJINI DODOMA

📍DODOMA | Juni 26, 2025 🔴 LIVE: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania moja kwa moja kutoka Jijini Dodoma. Katika hotuba hii muhimu, Mhe. Rais Samia atazungumzia masuala ya kitaifa ikiwemo maendeleo ya kiuchumi, huduma za kijamii, …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho Mhe. Rais Dkt. Samia atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Soma zaidi »

🔴 LIVE: KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA.

Karibu uungane nasi mubashara leo tarehe 26 Juni, 2025, moja kwa moja kutoka Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma, kushuhudia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya. Maadhimisho haya yanafanyika kwa lengo la kuelimisha na kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu …

Soma zaidi »

TUJITOKEZE KWA WINGI! TUUNGANE NA RAIS SAMIA KATIKA KILELE CHA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA

Wana-Dodoma na Watanzania kwa ujumla, mnakaribishwa kushiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya kitakachofanyika tarehe 26 Juni 2025, kuanzia saa 1:00 asubuhi, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma. Mgeni rasmi atakuwa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa …

Soma zaidi »

TAMASHA LA VIJANA KUPINGA MATUMIZI NA BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA LAFANA JIJINI DODOMA

Mamia ya vijana kutokamaeneo mbalimabli katika mkoa wa wa Dodoma wamekusanyika katika Ukumbi wa Generali Mabeyo jijini Dodoma kushiriki Tamasha la Vijana lililolenga kutoa elimu kuhusu madhara ya matumizi na biashara ya dawa za kulevya. Tamasha hili lilifanyika kwa heshima ya kuadhimisha kilele cha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Matumizi …

Soma zaidi »

WANANCHI DODOMA WAMPONGEZI RAIS SAMIA, WAHIMIZA ELIMU KUPINGA DAWA ZA KULEVYA IENEZWE NCHI NZIMA

Baadhi ya wananchi waliohudhuria fainali ya mpira wa miguu iliyofanyika katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Mtakatifu John, jijini Dodoma, wamepongeza jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kuendelea kuwekeza …

Soma zaidi »

TANZANIA YAITIKISA DUNIA KATIKA WIKI YA MAPAMBANO DHIDI YA DAWA ZA KULEVYA – KAMISHNA ARETAS LYIMO

Mara baada ya kufungwa kwa mashindano mbalimbali yaliyoandaliwa katika kuadhimisha Wiki ya Kupambana na Kudhibiti Dawa za Kulevya Duniani, Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini Tanzania, Aretas Lyimo, amesema kuwa Tanzania imeonesha dhamira ya kweli kwa vitendo katika mapambano hayo kwa kushirikisha jamii, …

Soma zaidi »