Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeendelea kutumia mkakati madhubuti wa nguzo kuu nne katika vita dhidi ya dawa za kulevya nchini. Nguzo hizo ni: (i) Kupunguza upatikanaji wa dawa za kulevya; (ii) Kupunguza uhitaji wa matumizi ya dawa hizo; (iii) Kudhibiti madhara yatokanayo na matumizi; …
Soma zaidi »MAMLAKA YA KUDHIBITI DAWA ZA KULEVYA YATUMIA NGUZO KUU NNE KUPAMBANA NA JANGA LA DAWA ZA KULEVYA
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imekuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya matumizi na usambazaji wa dawa za kulevya nchini. DCEA inatekeleza jukumu hili kwa kutumia nguzo kuu nne ambazo ni: kupunguza upatikanaji wa dawa za kulevya, kupunguza uhitaji, kudhibiti madhara na kuimarisha ushirikiano …
Soma zaidi »OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA IMEFANIKIWA SANA USHIRIKI WAKE KATIKA KESI ZA DAWA ZA KULEVYA
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka ni mhimili muhimu katika mapambano dhidi ya uhalifu wa dawa za kulevya nchini Tanzania. Katika hatua za awali za uchunguzi wa mashauri ya dawa za kulevya, Ofisi hii hushirikiana kwa karibu na vyombo vya upelelezi pamoja na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali …
Soma zaidi »VIJANA WALIOACHANA NA DAWA ZA KULEVYA WAIPONGEZA DCEA
Baadhi ya vijana waliowahi kuwa watumiaji wa dawa za kulevya wameipongeza Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa juhudi zake thabiti katika kupambana na biashara na matumizi ya dawa hizo. Vijana hao Pendo Athuman, Tonny Michael na Gabriel Nyangasi wamesema kuwa hatua zilizochukuliwa na mamlaka hiyo, …
Soma zaidi »TAKUKURU: BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA INAPITA PENYE RUSHWA, RUSHWA IKIDHIBITIWA TZ INAKUWA SALAMA
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ni mdau muhimu katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini, hasa inapohusiana na kushughulikia mianya ya rushwa inayochochea biashara hiyo haramu. TAKUKURU imekuwa kiungo muhimu katika kuhakikisha kila mtumishi wa umma anayetakiwa kutekeleza wajibu wa kudhibiti dawa za kulevya anafanya hivyo …
Soma zaidi »MKEMIA MKUU WA SERIKALI NDIYE SHAHIDI MKUU WA KITAALAMU KATIKA KESI ZINAZOHUSISHA DAWA ZA KULEVYA
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imeendelea kuwa mhimili mkuu katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya nchini kwa kutoa ushahidi wa kitaalamu wa kisayansi unaotumika mahakamani kuhakikisha haki inatendeka. Kupitia maabara zake za kisasa, GCLA hupokea na kuchunguza sampuli zote za dawa za kulevya zinazokamatwa katika …
Soma zaidi »UHAMIAJI NA DCEA HUSHIRIKIANA KWA ULINZI WA MIPAKA NA VIPENYO VYA DAWA ZA KULEVYA
Idara ya Uhamiaji ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejikita kwa nguvu kubwa katika kuzuia mianya yote inayoweza kutumiwa na wasafirishaji wa dawa za kulevya kuingia au kutoka nchini. Kwa kushirikiana kwa karibu na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Idara hii imeongeza ulinzi na ufuatiliaji …
Soma zaidi »ESTHER MORRIS WA NAWEZA TENA AONGOZA MAPINDUZI CHANYA KWA DADA POA NA WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA
Mkurugenzi wa Shirika la Naweza Tena, Bi. Esther Morris, ameibuka kama sauti ya matumaini kwa wanawake waliokuwa wakijihusisha na biashara ya ukahaba na matumizi ya dawa za kulevya jijini Mwanza. Kupitia mradi wa kutoa Stadi za Maisha, shirika hilo limekuwa likiwasaidia Dada Poa na waraibu wa dawa za kulevya kuachana …
Soma zaidi »🔴 LIVE: KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA.
Karibu uungane nasi mubashara leo tarehe 26 Juni, 2025, moja kwa moja kutoka Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma, kushuhudia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya. Maadhimisho haya yanafanyika kwa lengo la kuelimisha na kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu …
Soma zaidi »🔴 LIVE: KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA.
Karibu uungane nasi mubashara leo tarehe 26 Juni, 2025, moja kwa moja kutoka Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, Dodoma, kushuhudia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupiga Vita Matumizi na Biashara ya Dawa za Kulevya. Maadhimisho haya yanafanyika kwa lengo la kuelimisha na kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu …
Soma zaidi »