Katika tukio la kihistoria linaloangazia miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wakuu wa nchi na serikali kutoka mataifa wanachama wamekutana jijini Arusha, Tanzania. Maadhimisho haya yanalenga kutafakari mafanikio, changamoto, na fursa zilizoshuhudiwa katika safari ya ushirikiano wa kikanda tangu kuanzishwa kwa jumuiya hii mwaka 1999.
Soma zaidi »Arusha Yaadhimisha Miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Sherehe Maalum.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, tarehe 01 Novemba 2024 ameungana na kuongoza Waombolezaji Katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo,jijini Dar-es-Salaam, kuaga mwili wa marehemu Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri
Tunapiga kura si kwa sababu ya siasa, bali kwa sababu ya mustakabali wa taifa letu na vizazi vijavyo
HOTUBA YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN BAADA YA KUTUNUKIWA SHAHADA YA UDAKTARI WA HESHIMA KATIKA UONGOZI KWENYE MAHAFALI YA 23 YA CHUO KIKUU MZUMBE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa misingi inayoshajihisha uongozi wake ni ufanyaji wa maamuzi kwa kushirikisha wadau, kwa kuoongozwa na ushahidi na utafiti, na kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na Watanzania. Rais Dkt. Samia ameyasema hayo leo wakati akitunikiwa Shahada ya …
Soma zaidi »HISTORIA YA KOFIA YA MAHAFALI YA CHUO KIKUU TOKEA KARNE YA 16 HII HAPA
Rais Samia Aongoza Safari ya Kihistoria kwa Treni ya SGR, Akionesha Mafanikio ya Miradi ya Kimkakati
Mnamo tarehe 23 Novemba, 2024, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alifanya safari kwa Treni ya Kisasa ya SGR kutoka Jijini Dar es Salaam hadi Stesheni ya Jakaya Kikwete mkoani Morogoro. Tukio hili linaakisi mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati inayolenga kuboresha …
Soma zaidi »“Dunia bila Njaa na Umaskini” Rais Samia Atoa mwito wa mageuzi ya haki katika mkutano wa G20.
Ninatoa shukrani zangu za dhati kwa Rais Lula da Silva kwa mwaliko na ukarimu wa hali ya juu. Leo, tunajikuta katika dunia iliyojaa utajiri wa rasilimali lakini bado Afrika inakumbwa na viwango vya umasikini, njaa, magonjwa, utapiamlo, na uzalishaji hafifu visivyoweza kudumishwa. Dunia ambako idadi kubwa ya vijana wanakabiliana na …
Soma zaidi »Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Akagua Miradi ya CSR ya TPDC Msimbati, Mtwara
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, alifanya ziara wilayani Mtwara, kijijini Msimbati, ambapo alizungumza na wananchi baada ya kukagua majengo ya Kituo cha Afya na Kituo cha Polisi. Vituo hivi vimejengwa kwa kutumia fedha zilizotolewa kupitia Mpango wa Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) wa Shirika la …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)
Mheshimiwa rais anaelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa kundi la G20. Rais Dkt. Samia amealikwa na Rais wa Brazil Mhe. Luiz Ińacio Lula da Silva ambapo pamoja na mambo mengine, atashiriki mijadala inayolenga kuimarisha ushirikiano …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+