Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Mh Anthony Mavunde ametekeleza ahadi yake ya kuwapatia wananchi wa jimbo hilo gari la kuhudumia shughuli za mazishi ambalo litatumiwa na wananchi wote bila gharama yoyote. Gari hilo maalum la huduma za mazishi limekabidhiwa leo kwa wananchi wa Dodoma chini ya uratibu wa Ofisi …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
TANZANIA KINARA WA KUVUTIA WAWEKEZAJI AFRIKA MASHARAIKI
Tanzania imeendela kuweka rekodi ya kuvutia wawekezaji kwa nchi zilizopo ukanda wa Afrika Mashariki kwa kuwa na mtaji wa uwekezaji wa Dola Bilioni 1.18, ikifuatiwa na Uganda wenye uwekezaji wa dola za kimarekani 700 Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI CONSTANTINE KANYASU AMPA MKANDARASI SIKU 30 KUKAMILISHA JENGO LA MALIASILI NA UTALII DODOMA
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe .Constantine Kanyasu ametoa siku 30 kwa mkandarasi wa SUMA JKT, aliyepewa kazi ya kujenga jengo la ofisi ya wizara hiyo katika mji wa serikali eneo la Ihumwa, Jijini Dodoma, kuhakikisha jengo hilo linakamilika ndani ya siku hizo alizopewa Amemshauri Mkandarasi huyo kufanya kazi …
Soma zaidi »RAIS DKT. SHEIN AZINDUA MRADI WA UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ZANZIBAR
RAIS MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU MZEE MWINYI
LATE LIVE; IGP SIRRO AFANYA MABADILIKO JESHI LA POLISI
Msemaji wa Jeshi la polisi abadilishwa. Sasa DCP Ahmed Msangi ndiye Msemaji wa Jeshi hilo. Fuatilia kupitia link hii; #SisiNiTanzaniaMpyA+ #MATAGA
Soma zaidi »UPANUZI WA BANDARI GATI NAMBA MOJA WAFIKIA ASILIMIA 100
Upanuzi wa bandari ya Dar es Salaam umefikia hatua nzuri baada ya kukamilka kwa upanuzi wa gati namba moja kwa asilimia 100 huku meli ya kwanza ikitarajiwa kutia nanga wiki moja ijayo ikishuhudiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano. Hayo yameelezwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MAFUNZO KWA WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA
TUSIMAMIE WAKANDARASI WANAOJENGA MJI WA SERIKALI DODOMA
Manaibu Mawaziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wamefanya ziara ya kutembelea na kukagua kiwanja kilichotolewa kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya Wizara hiyo ambapo Serikali imetoa shilingi bilioni moja kwa kila Wizara na kuelekeza kuwa ifikapo mwishoni mwa mwezi Desemba mwaka huu Wizara zote ziwe zina majengo yake ya …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AZINDUA MKAKATI WA KUDHIBITI UKIMWI
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua Mkakati wa Nne wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI 2018/19 – 2022/23 ambao unatarajia kupunguza maambukizi mapya ya VVU kwa asilimia 75 ifikapo mwaka 2020 na asilimia 85 ifikapo mwaka 2023. Matokeo mengine yanayotarajiwa kufikiwa kutokana na mkakati huo ni kupungua kwa maambukizi mapya ya VVU …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+