Matokeo ChanyA+
Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 (Dira 2050)
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 (Dira 2050)
Soma zaidi »TAMISEMI YA SAMIA Toleo Na. 01 – Julai 8, 2025
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI)
Soma zaidi »Ripoti ya Idadi ya Watu Katika Majimbo ya Uchaguzi, Tanzania
Kongamano la Wadau wa Mazingira – (NEMC) 31 Mei 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameagiza kuangaliwa upya kwa sheria zinazohusu uhifadhi wa mazingira ili kuliwezesha Baraza la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Halmashauri kuwa na nguvu ya kuchukua hatua kali dhidi ya uharibifu wa Mazingira. Makamu wa Rais ametoa maagizo hayo …
Soma zaidi »Kongamano la Wadau wa Mazingira 2024
Makamu wa Rais amewasihi Watanzania kuacha mazoea ya kukata miti na kutupa taka hovyo na kuziagiza Mamlaka za Serikali za Mitaa zihakikishe kuwa Kampuni zinazopewa kazi ya kuzoa taka ziwe na uwezo wa kufanya kazi hizo kwa ufanisi.
Soma zaidi »Kongamano la Wadau wa Mazingira – (NEMC) 31 Mei 2024 (VIDEO)
Kongamano la wadau wa mazingira lililoandaliwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kufanyika tarehe 31 Mei 2024, katika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam. Kongamano hili linakusudia kuleta pamoja wadau mbalimbali kujadili njia bora za kusimamia na kuhifadhi mazingira nchini Tanzania. Mada kuu zitakazojadiliwa ni …
Soma zaidi »RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AMEWASILI NCHINI WINGEREZA KUHUDHURIA MAZISHI YA MALKIA ELIZABETH II
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na muwakilishi wa Mfalme Charles III, Bi. Cynthia Gresham wa Uingereza pamoja na Balozi wa Tanzania nchini humo, Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Luton tarehe 17 Septemba, 2022 kwa ajili ya …
Soma zaidi »ZIARA YA RC MOROGORO YAUKATAA MRADI WA BARABARA MOROGORO VIJIJINI
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Fatma Mwassa amekataa Mradi wa Barabara ya Zege iliyojengwa Chini ya kiwango , katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kata ya Matombo barabara ya Kigongo Juu . Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa amemuagiza Katibu tawala wa Mkoa docta Mussa pamoja na Engineer wa …
Soma zaidi »