Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

BANDARI YA MTWARA KUSAFIRISHA TANI 110,000 ZA MAKAA YA MAWE KWA MWEZI KUPELEKA ASIA NA ULAYA

 Chama cha uchimbaji madini cha Bonde la Ufa kwa kushirikiana na wawekezaji kutoka Afrika Kusini na Uingereza wanatazamiwa kutumia Bandari ya Mtwara kusafirisha tani 110,000 za makaa ya mawe kwa mwezi katika bara la Asia naduniani koteMkurugenzi wa Jumuiya hiyo, FahadMkaandamu alibainisha hayo hivi karibuni, na kusema kuwa chama hicho …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI, WIZARA YA MAMBO YA NJE YA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuagana na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Aprili, 2022. Rais wa Jamhuri …

Soma zaidi »

KWA MARA YA KWANZA WATAALAMU WAZAWA WAZIBUA MISHIPA PACHA YA MOYO ILIYOZIBA KWA ASILIMIA 95

Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamezibua mishipa miwili iliyokuwa inapeleka damu kwa wakati mmoja kwenye moyo (mishipa pacha ya damu – bifurcation lesion) ambayo ilikuwa imeziba kwa asilimia 95 na …

Soma zaidi »