Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maonesho ya NaneNane kwenye viwanja vya Nzuguni, Dodoma

Leo, 8/08/2024 tunasherehekea kilele cha Maonesho ya NaneNane katika viwanja vya Nzuguni, Dodoma, ambapo Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi. Siku hii muhimu inatupa fursa ya kutambua na kusherehekea mchango wa wakulima na wafugaji katika maendeleo ya taifa letu.

#KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *