Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaMhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasha moja ya trekta la kisasa mara baada ya hafla ya makabidhiano ya zana za kilimo kwenye kilele cha Siku Kuu ya Wakulima katika viwanja vya Maonesho hayo, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024.
MatokeoChanya
August 8, 2024
CCM, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+, WIZARA YA KILIMO, WIZARA YA KILIMO
370 Imeonekana