Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Vatican kuanzia tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024 kufuatia mwaliko wa kiongozi mkuu wa Vatican na Kanisa Katoliki duniani Papa Francis.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *