Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Vatican kuanzia tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024 kufuatia mwaliko wa kiongozi mkuu wa Vatican na Kanisa Katoliki duniani Papa Francis. MatokeoChanya January 22, 2024 DIPLOMASIA, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+ Acha maoni 617 Imeonekana Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest