Rais Mhe. DKT SAMIA alianzisha falsafa ya 4R’s Reconciliation, Resilience, Reforms na Rebuilding ili kudumisha amani, utulivu na kushughulikia masuala ya siasa, kijamii na kiuchumi nchini. Ni vyema zitafsiriwe kwa lugha ya Kiswahili. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #KaziIendelee pic.twitter.com/cBDKbhEWQU
— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+