Maridhiano yamesaidia katika uponyaji wa kihisia na yameleta ukweli wa kihisia na kiroho. Maridhiano yamesaidia watu au jamii zilizoathiriwa na migogoro kusonga mbele na kupona kutokana na majeraha ya kihisia. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #KaziIendelee pic.twitter.com/buHoyHkQO8
— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+