• Kazi imeanza ikiwa ni siku nne kabla ya muda rasmi uliopangwa
•• Utandikaji umeanzia eneo la Soga Kibaha mkoani Pwani
••• Utandikaji wa Reli kuanza siku chache zijazo
•••• Kasi ya uchapaji kazi, ari, kazi ya kukamilisha ujenzi yazidi Usiku na mchana maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye kupata Matokeo ChanyA+ katika kila nyanja ya kujenga na kukuza uchumi imara na madhubuti kwa Taifa
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+