Chakula cha jioni baina ya wasanii na wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dar es Salaam.

live catch up: WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAWAALIKA WASANII CHAKULA CHA JIONI JIJINI DAR ES SALAAM

  • Ni katika Hotel ya Serena
  • Waziri Dkt. kigwangalla aiagiza TANAPA kununua boti ya kisasa itakayotumika kufanyia sherehe
  • aiagiza wizara kuandaa utaratibu wa kutengeneza filamu 3 za kisasa kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2019

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *