- Ni katika Hotel ya Serena
- Waziri Dkt. kigwangalla aiagiza TANAPA kununua boti ya kisasa itakayotumika kufanyia sherehe
- aiagiza wizara kuandaa utaratibu wa kutengeneza filamu 3 za kisasa kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2019
Chakula cha jioni baina ya wasanii na wizara ya Maliasili na Utalii jijini Dar es Salaam.
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+