Maktaba ya Kila Siku: March 4, 2026

FENTANYL DAWA HATARI ZAIDI DUNIANI ZAKAMATWA TANZANIA

Fentanyl ni dawa ya maumivu yenye nguvu sana. Hutumika hospitalini kutuliza maumivu makali, hasa baada ya upasuaji au kwa wagonjwa wa saratani. Ni dawa ya kundi la opioids, sawa na morphine lakini ina nguvu zaidi mara 50 hadi 100 kuliko morphine. Fentanyl ni nini hasa? Ni dawa ya kitabibu inayotolewa …

Soma zaidi »