Maktaba ya Kila Siku: January 21, 2026

Kutoka Bodaboda Hadi Uwekezaji: Vijana Wa Solwa Wathibitisha Mikopo Ya 10% Na Ndoto Zinawezekana!

Katika kipindi ambacho vijana wengi hukata tamaa kutokana na changamoto za ajira na mitaji, Kikundi cha Bodaboda Solwa (Vijana) kimeibuka kama mwanga wa matumaini na mfano halisi kuwa umoja, uaminifu na kujituma vinaweza kubadilisha maisha. Kikundi hiki kinapatikana Kijiji cha Solwa, Kata ya Solwa, Halmashauri ya Shinyanga Vijijini, na kilianzishwa mwaka 2018 kikiwa na wanachama 15 pekee. Leo …

Soma zaidi »