Maktaba ya Mwezi: January 2026

Kutoka Bodaboda Hadi Uwekezaji: Vijana Wa Solwa Wathibitisha Mikopo Ya 10% Na Ndoto Zinawezekana!

Katika kipindi ambacho vijana wengi hukata tamaa kutokana na changamoto za ajira na mitaji, Kikundi cha Bodaboda Solwa (Vijana) kimeibuka kama mwanga wa matumaini na mfano halisi kuwa umoja, uaminifu na kujituma vinaweza kubadilisha maisha. Kikundi hiki kinapatikana Kijiji cha Solwa, Kata ya Solwa, Halmashauri ya Shinyanga Vijijini, na kilianzishwa mwaka 2018 kikiwa na wanachama 15 pekee. Leo …

Soma zaidi »

MWAMBASHA YAANGAZA SHINYANGA: SHULE YA SEKONDARI YA AMALI YAKAMILIKA NA KUFUNGUA MILANGO YA MAFANIKIO KWA VIJANA

Kukamilika kwa Shule ya Sekondari ya Amali ya Mwambasha iliyopo Mkoa wa Shinyanga DC ni hatua kubwa ya maendeleo inayotoa matumaini mapya kwa vijana wa kila rika na kuleta ustawi kwa jamii nzima. Mafanikio haya yana mchango mkubwa katika nyanja mbalimbali za kijamii na kiuchumi kama ifuatavyo: Kwanza, shule hii inatoa elimu …

Soma zaidi »

TANI 9 ZA DAWA ZA KULEVYA ZAKAMATWA NCHINI MWEZI DISEMBA 2025

*Raia wa Kenya akamatwa akitumia biashara ya chai kuficha uuzaji wa dawa za kulevya. *Basi la King Masai lanaswa likisafirisha skanka. *Mirungi iliyofungwa kama majani ya mwarobaini yakamatwa. *Watumishi wa serikali wanaswa wakihusishwa na usafirishaji wa dawa za kulevya. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini imetekeleza …

Soma zaidi »