NEMC yashiriki Mkutano wa Saba wa Baraza la Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira (UNEA-7) jijini Nairobi, Kenya kuanzia Desemba 08–12, 2025. Mada zinazojadiliwa ni Mazingira asilia na mabadiliko ya tabianchi, uchumi mzunguko, kemikali, taka na uchafuzi, utawala, sheria na bajeti.

Image

Unaweza kuangalia pia

NEMC kupitia wanamichezo wake wanaoshiriki mashindano ya SHIMMUTA 2025 mkoani Morogoro na kauli mbiu “𝑴𝒊𝒄𝒉𝒆𝒛𝒐 𝒏𝒊 𝑨𝒇𝒚𝒂, 𝑴𝒂𝒛𝒊𝒏𝒈𝒊𝒓𝒂 𝒏𝒊 𝑼𝒉𝒂𝒊” wameshiriki zoezi la kufanya usafi uwanja wa Jamhuri Morogoro siku ya kufunga mashindano hayo Disemba 6, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *