NEMC kupitia wanamichezo wake wanaoshiriki mashindano ya SHIMMUTA 2025 mkoani Morogoro na kauli mbiu “π΄ππππππ ππ π¨πππ, π΄ππππππππ ππ πΌπππ” wameshiriki zoezi la kufanya usafi uwanja wa Jamhuri Morogoro siku ya kufunga mashindano hayo Disemba 6, 2025.
MatokeoChanya
3 weeks mda uliopita
CCM, Matokeo ChanyA+, MAZINGIRA, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+
69 Imeonekana