Maktaba ya Mwaka: 2024

4R: FALSAFA ZA MARIDHIANO, USTAHIMILIVU, MABADILIKO, NA KUJENGA UPYA KWA MAENDELEO ENDELEVU YA TAIFA

(4R) Falsafa hizi nne zinalenga kuimarisha umoja, kuleta ustawi na maendeleo ya kudumu kwa taifa, na kuhakikisha kuwa serikali inawajibika kwa wananchi wake.  1.Maridhiano (Reconciliation) Hii inahusu juhudi za kuleta amani na umoja katika jamii kwa kusuluhisha tofauti na migogoro iliyopo. Lengo ni kuimarisha mshikamano wa kitaifa na kuhakikisha kuwa …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma

#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi

Soma zaidi »

Meli tatu za kivita za Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China  zimewasili katika Bandari ya Dar es Salaam zikiwa na wanajeshi kadhaa kwa ajili ya kushiriki mazoezi ya pamoja na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikiwa ni sehemu  maadhimisho miaka 60 ya Jeshi hilo na ushirikiano kati ya Nchi ya Tanzania na China tangu kuanzishwa kwake.

Akizungumza Julia 24, 2024 katika Bandari ya Dar es Salaam wakati akipokea Meli tatu za Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China, Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji Tanzania NAVY, Rear Admiral Ameir Ramadan Hassan, amesema kuwa  ujio wa meli hizo kutoka Jamhuri ya Watu wa China ni sehemu …

Soma zaidi »

Katika siku hii ya Mashujaa, tunawakumbuka na kuwaenzi wale wote waliotangulia mbele kwa ajili ya Taifa letu. Heri ya Siku ya Mashujaa kwa Watanzania wote!

Tujivunie historia yetu, tuendeleze uzalendo, na tuijenge Tanzania imara kwa pamoja. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi

Soma zaidi »

TANZANIA YASHIRIKI MAANDALIZI YA MKUTANO WA KUJADILI MAENDELEO ENDELEVU

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (wakwanza kulia), akifuatilia majadiliano mbalimbali wakati wa Kikao cha Kwanza cha Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ugharamiaji kwa Maendeleo Endelevu (Fouth International Conference on Financing for Deveoplopment – FfD4, kinachoendelea kufanyika hadi 26 Julai 2024 …

Soma zaidi »