Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Viongozi wa Ofisi hiyo, Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (NSSF, PSSSF na WCF) pamoja na watendaji Bungeni jijini Dodoma
MatokeoChanya
August 15, 2024
BUNGE LA TANZANIA, CCM, Matokeo ChanyA+, OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE, KAZI, VIJANA, AJIRA NA WENYE ULEMAVU, Tanzania, Tanzania MpyA+
554 Imeonekana