Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) amewasili katika viwanja vya Chinangali Park jijini Dodoma katika hafla ya Tangazo la Uchaguzi wa Mitaa 2024 MatokeoChanya August 15, 2024 CCM, Matokeo ChanyA+, Tanzania, Tanzania MpyA+ Acha maoni 352 Imeonekana Kauli mbiu ya Uchaguzi “Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi” Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest