Wananchi wa Kilosa wamepongeza juhudi za serikali katika kuboresha miundombinu, wakisema daraja hili ni suluhisho muhimu kwa changamoto za usafiri wakati wa mvua na mafuriko. Wamesema daraja hili litachangia kukuza uchumi wa eneo hilo kwa kurahisisha usafirishaji wa bidhaa na huduma. Wananchi pia wameelezea shukrani zao kwa Rais Samia kwa kuendelea kuwekeza katika miradi ya maendeleo inayogusa maisha yao moja kwa moja.
RAIS SAMIA AZINDUA DARAJA LA BEREGA KILOSA, WANANCHI WAPONGEZA JUHUDI ZA MIUNDOMBINU NA UCHUMI
Wananchi wa Kilosa wamepongeza juhudi za serikali katika kuboresha miundombinu, wakisema daraja hili ni suluhisho muhimu kwa changamoto za usafiri wakati wa mvua na mafuriko. Wamesema daraja hili litachangia kukuza uchumi wa eneo hilo kwa kurahisisha usafirishaji wa bidhaa na huduma. Wananchi pia wameelezea shukrani zao kwa Rais Samia kwa kuendelea kuwekeza katika miradi ya maendeleo inayogusa maisha yao moja kwa moja.
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+