Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma.

Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *