Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ni siku maalum kwa ajili ya wafanyakazi kutafakari na kutathmini namna walivyotekeleza malengo waliyojiwekea katika mwaka husika.
MatokeoChanya
May 1, 2024
Matokeo ChanyA+, Tanzania, Tanzania MpyA+, Waziri Mkuu
5,614 Imeonekana