Mradi wa ujenzi wa barabara ya Nsalaga – Ifilisi (km 29) ni sehemu ya Barabara kuu ya Igawa – Songwe – Tunduma yenye jumla ya urefu wa kilometa 218 ambayo ni kiungo muhimu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini na nchi zilizopo ukanda wa SADC MatokeoChanya January 12, 2024 Matokeo ChanyA+, SADC, Tanzania, Tanzania MpyA+, WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO Acha maoni 468 Imeonekana Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest