Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan wakati alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake hapa nchini.
MatokeoChanya
January 11, 2024
DIPLOMASIA, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, ZANZIBAR
479 Imeonekana