ZIARA YA RC MOROGORO YAUKATAA MRADI WA BARABARA MOROGORO VIJIJINI

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Fatma Mwassa amekataa Mradi wa Barabara ya Zege iliyojengwa Chini ya kiwango , katika Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro kata ya Matombo barabara ya Kigongo Juu . Mkuu wa Mkoa Mhe Fatma Mwassa amemuagiza Katibu tawala wa Mkoa docta Mussa pamoja na Engineer wa Mkoa kumsimamia Mkandarasi kurudia kumwaga zege Upya .  Mkuu wa Mkoa yupo kwenye ziara yake ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kuzunguka Mkoa wa Morogoro na Halmashauri zake zote na leo alikuwa Halmshauri ya Morogoro.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *