MAKAMU WA RAIS SAMIA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akimwagilia Maji Mti aina ya Paukaria alioupanda katika eneo la Kiwanda cha Kuchakata Mahindi Michungwani Segera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga leo March 15,2021 baada ya kuweka Jiwe la Msingi Kiwanda hicho.  Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tanga Martin Shegela.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akipata maelezo kuhusu Mipango endelezi ya Kiwanda cha Kuchakata Mahindi Michungwani Segera Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kutoka kwa Meneja Mtendaji  wa Kiwanda hicho John CK  leo March 15,2021,  Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Martin Shegela.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akiondoa Kitambaa Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya Handeni Mkoani Tanga leo March 15,2021,  Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi. kushoto ni Mkuu wa Mkoa Tanga Mhe. Martin Shegela na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa Tanga Mhe. Henri Shikifu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  akisalimiana  na Wananchi wa Kijiji cha Mkata Wilayani Handeni Mkoani Tanga, leo March 15,2021,  Makamu wa Rais ameanza ziara ya kikazi ya siku 5 Mkoani Tanga kutembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo ya Wananchi.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *