zoezi la kuhesabu mali (Dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara likiendelea kwenye maghala ya MSD Makao MakuuMtumishi wa Kanda ya Mwanza akiendelea na zoezi la kuhesabu dawa na vifaa tiba, ambapo Meneja wa Kanda hiyo Bi. Rehema Shelukindo amewahakikishia wateja wa vituo vya kutolea huduma za Afya
Bohari ya Dawa (MSD) inafanya zoezi la kuhesabu mali za taasisi ili kufunga mwaka kwenye Kanda zote za MSD na Makao Makuu.