WAKAGUZI WA MAZINGIRA DODOMA WAPATIWA MAFUNZO

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma, Maduka Kessy akisoma hotuba ya ufunguzi wa mafunzo kwa Wakaguzi wa Mazingira wateule Kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa zilizopo jijini Dodoma ambao watakuwa na jukumu la Kusimamia kikamilifu uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Mazingira yanayofanyika jijini Dodoma.
Washiriki wa mafunzo kwa Wakaguzi wa Mazingira wateule Kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa zilizopo jijini Dodoma wakiwa katika mafunzo ya kuwajengea uwezo katika kusimamia kikamilifu uzingatiaji na utekelezaji wa Sheria ya Mazingira yanayofanyika jijini Dodoma.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *