WAZIRI KAMWELWE APOKEA KIVUKO CHA MV KIGAMBONI

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amepokea Kivuko cha MV Kigamboni kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika eneo la Kigamboni jijini Dar es salaam. Ukarabati huo umegharimu kiasi cha shilingi bilioni 1.09.

Unaweza kuangalia pia

Mazingira yetu, Uhai wetu. Tuyatunze yatutunze

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *