Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Ifukutwa-Vikonge yenye urefu wa KM 35 kwa kiwango cha lami,mkoani Katavi ukiendelea. Mradi huu unagharimiwa kwa %100 kwa fedha za ndani zaidi ya shilingi bil. 57. Mradi wa barabara ya Mpanda-Vikonge ni sehemu ya barabara kuu ya ukanda wa magharibi yenye urefu wa (km 1042) ambapo Sera ya Serikali ya Awamu ya 5 ni kuhakikisha inaunganisha mikoa yote nchini kwa barabara za lami pamoja na nchi jirani.Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Ifukutwa-Vikonge yenye urefu wa KM 35 kwa kiwango cha lami,mkoani Katavi ukiendelea. Mradi huu unagharimiwa kwa % 100 kwa fedha za ndani zaidi ya shilingi bil. 57. Mradi wa barabara ya Mpanda-Vikonge ni sehemu ya barabara kuu ya ukanda wa magharibi yenye urefu wa (km 1042) ambapo Sera ya Serikali ya Awamu ya 5 ni kuhakikisha inaunganisha mikoa yote nchini kwa barabara za lami pamoja na nchi jirani.Ujenzi wa barabara ya Mpanda-Ifukutwa-Vikonge yenye urefu wa KM 35 kwa kiwango cha lami,mkoani Katavi ukiendelea. Mradi huu unagharimiwa kwa % 100 kwa fedha za ndani zaidi ya shilingi bil. 57. Mradi wa barabara ya Mpanda-Vikonge ni sehemu ya barabara kuu ya ukanda wa magharibi yenye urefu wa (km 1042) ambapo Sera ya Serikali ya Awamu ya 5 ni kuhakikisha inaunganisha mikoa yote nchini kwa barabara za lami pamoja na nchi jirani.