Tags Madini MAFUTA NA GESI ASILIA MAPATO Mawaziri
Unaweza kuangalia pia
SOKO LA MDINI ULANGA LA KUSANYA MILIONI 396 NDANI YA MIEZI 5
Waziri wa Madini Doto Biteko amesema tangu kuanzishwa kwa soko la madini Ulanga wamenunua madini …
Mgogoro uliodumu kwa miaka minane (8) baina ya wawekezaji wawili wa Budha na Zhong Fa katika eneo la Maseyu mkoani Morogoro ambalo ni la machimbo ya Marble umekwisha rasmi baada ya Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko kukutana na pande zote mbili katika eneo hilo.Tags Madini MAFUTA NA GESI ASILIA MAPATO Mawaziri
Waziri wa Madini Doto Biteko amesema tangu kuanzishwa kwa soko la madini Ulanga wamenunua madini …