
• Zimerahisisha usafiri katikati ya mitaa hiyo
• Za pinguza msongamano kwa kiasi kikubwa barabara ya Mwai Kibaki

• Sasa mitaa ya Sayansi Kijitonyama, Msasani kwa Mwalimu, Mikocheni, Msasani na Masaki imeunganishwa kwa njia za lami zaidi ya moja.

• Tatizo la mafuriko na mitaro isiyopitisha maji kipindi cha masika, limetatuliwa kikamilifu.

• Barabara zote zina taa sinazotumia mionzi ya mwanga wa jua.

#SisiNiTanzaniaMpyA+
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+