UTANDIKAJI WA RELI YA SGR UMEANZA

Utandikaji wa reli ya kisasa ya SGR umeanza leo rasmi katika eneo la Soga Kibaha Mkoani Pwani, ambapo awamu ya kwanza itafanyika katika kilometa 55.

WhatsApp Image 2018-09-18 at 12.44.33

WhatsApp Image 2018-09-18 at 12.44.34

Unaweza kuangalia pia

USIKILIZWAJI WA KESI YA TUNDU LISSU KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU, DAR ES SALAAM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *