Historia ya kilimo duniani inaonyesha jinsi ambavyo mbinu mbalimbali zimetumika kudidimiza kilimo katika nchi zetu Afrika ili tugeuke wategemezi. Hujuma ya kwanza dhidi ya kilimo chetu ilikuwa enzi ya ukoloni, Wakoloni hawakutaka tujitosheleze kwa chakula au tuanzishe viwanda vinavyotumia mazao ya kilimo. Enzi ya ukoloni tulilazimishwa kulima mazao yanayokidhi mahitaji …
Soma zaidi »Taarifa ChanyA+
November, 2018
-
21 November
Miradi Mipya ya Umeme Ilenge Maeneo Yenye Changamoto – Dkt Kalemani
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani amewataka wataalam wanaopanga maeneo yanayopaswa kupelekewa umeme kupitia miradi mbalimbali kuhakikisha kuwa wanakuwa makini katika upangaji wa maeneo hayo ili kutorundika miradi mingi katika maeneo ambayo tayari yameshasambaziwa umeme. Ameyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa kikao chake na Naibu Waziri wa Nishati, …
Soma zaidi » -
21 November
Tuhimize Michezo Sehemu za Kazi – MAKAMU WA RAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Wakuu wa Mashirika na Taasisi kutenga fedha kwa ajili ya michezo. Makamu wa Rais ameyasema hayo leo kwenye uzinduzi wa Mashindano ya SHIMMUTA uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. “Kwa Wakuu wa Taasisi, kwa kuwa …
Soma zaidi » -
20 November
UJENZI WA KIWANDA CHA MAGARI WAANZA
Zaidi ya billioni 22 za Kitanzania zimetengwa kwaajili ya hatua ya kwanza ya ujenzi wa Kiwanda cha uundaji wa magari cha Youngsan Glonet Corporation (KOTA) kutoka Jamhuri ya watu wa Korea. Kiwanda hicho kinatarajiwa kujengwa katika eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam baada ya hatua ya awali ya kutiliana …
Soma zaidi » -
20 November
LIVE: Baraza Kuu la Maulid ya Kitaifa; Korogwe – Tanga
https://youtu.be/xs9OMLQhYS4
Soma zaidi » -
19 November
BILIONI 2 ZIMEKWISHATOLEWA KWA WAKULIMA WA KOROSHO
Serikali Kupitia Benki ya kilimo Tanzania(TADB) imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 2 kwa wakulima wa korosho wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma katika malipo ya kundi la kwanza la watu ambao wamehakikiwa kupitia vyama vya msingi na vyama vya ushirika. Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 17, Waziri …
Soma zaidi » -
19 November
SERIKALI IMEJENGA MAZINGIRA YA AJIRA KWA VIJANA KUPITIA MAPINDUZI YA VIWANDA – MGOYI
Serikali imejenga mazingira kwa vijana kupitia mapinduzi ya viwanda kwa serikali ya awamu ya Tano chini Rais Dkt John Pombe Magufuli ambapo ndio suluhisho ya vijana wenye ujuzi kutumika katika viwanda hivyo. Hayo aliyasema Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Adam Mgoyi katika mahafali ya 21 ya Chuo VETA Mikumi , …
Soma zaidi » -
16 November
GST YAAGIZWA KUANDAA RAMANI ZA MADINI NGAZI ZA MIKOA, WILAYA
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imetakiwa kuandaa ramani zinazoonyesha madini mbalimbali katika ngazi ya Mikoa na Wilaya ili kuwapa nafuu watanzania wanaofanya shughuli za uchimbaji wa madini nchini. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko baada ya kupokea taarifa ya Utafiti wa Jiokemia …
Soma zaidi » -
16 November
Wakandarasi wa Umeme Acheni Visingizio – Waziri wa Nishati
Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewataka wakandarasi wanaotekeleza Mradi ya kusambaza umeme vijijini (REA III) kuacha visingizio vinavyochelewesha mradi huo kukamilika kwa wakati. Dkt. Kalemani alitoa agizo hilo wakati akizungumza wakandarasi wanaotekeleza mradi huo katika mikoa ya Mwanza na Manyara juu ya maendeleo ya utekelezaji REA III, mzunguko wa kwanza …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+