Recent Posts

video & link; TESEApp Inamsaidiaje Mwanafunzi Kusoma mtandaoni?

Wataalamu wahojiwa na kuelezea. Wasimulia na kuonyesha mifano dhahiri kilichomo ndani ya App hiyo ambacho ni msaada mkubwa kwa mwanafunzi. Sasa tuition inaweza kuwa ni historia kwa wanafunzi wa sekondari nchini. Wasema TESEApp ina kila hitaji la mwanafunzi wa kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita nchini.   Tanzana kipindi …

Soma zaidi »

MADINI: Waziri amaliza mgogoro wa wawekezaji Moro

Mgogoro uliodumu kwa miaka minane (8) baina ya wawekezaji wawili wa Budha na Zhong Fa katika eneo la Maseyu mkoani Morogoro ambalo ni la machimbo ya Marble umekwisha rasmi baada ya Naibu Waziri wa Madini, Doto Biteko kukutana na pande zote mbili katika eneo hilo. Hatua hiyo iliyochukulia na Serikali …

Soma zaidi »

MO: Kailima awatoa hofu Watanzania

Naibu katibu mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani awatoa hofu Watanzania kuwa nchi ipo salamaL licha ya kutokea kwa tukio la kutekwa kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji. Naibu katibu mkuu huyo amesema hayo mkoani Simiyu ambapo amesema tukio hilo haliwezi kuharibu sifa ya nchi nzima kwani matukio kama haya hutokea pia …

Soma zaidi »

video: SIKU WAZIRI MKUU ALIPOTETA NA MFANYABIASHARA MO

• Mhe. Waziri Mkuu alimsisitizia namna serikali inavyojali mchango wa wafanyabiashara • Mohamed Dewji alifika ofisini kwa Mhe. Waziri Mkuu kupeleka taarifa yake ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kujenga Tanzania ya viwanda. • Mhe. Waziri Mkuu alimwambia mfanyabiashara huyo umuhimu wa kodi inayokusanywa kutoka kwa wafanyabiashara na serikali …

Soma zaidi »

SERIKALI HAITAMVUMILIA MKANDARASI YEYOTE ATAKAYECHELEWESHA MIRADI YA NISHATI

Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amesema Serikali haitavumilia mkandarasi yeyote atakayechelewesha Miradi ya Nishati nchini. Mgalu amesema hayo wakati wa  ziara yake katika Wilaya ya Mkalama mkoani Singida ambapo aliwasha rasmi umeme katika kijiji cha Ibaga Shuleni, Ibaga center na Nkinto Ikurui pamoja na kukagua shughuli za utekelezaji wa …

Soma zaidi »