Recent Posts

TATIZO LA USIKIVU WA MAWASILIANO MAFIA KUKAMILIKA NDANI YA MIEZI 7

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye (Mb.) amewaahidi wakazi wa Kisiwa cha Mafia kuwa Serikali imejipanga kuboresha mawasiliano katika vijiji vitatu vyenye usikivu hafifu wa mawasiliano ya simu za mkononi. Akizungumza na wananchi wa vijiji vya Miburani, Chunguruma na Banja kisiwani Mafia wakati wa ziara ya kukagua usikivu …

Soma zaidi »

LIVE: BUNGE-HATI ZAWASILISHWA MEZANI

 RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI- CAG WAZIRI MKUU  WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (TAMISEMI)  WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS (UTUMISHI NA UTAWALA BORA)  MWENYEKITI WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA  MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI …

Soma zaidi »