Recent Posts

HAKUNA SIKUKUU KWENYE KAZI ZA UMEME – WAZIRI KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewaagiza amewaagiza wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini kuendelea na kazi katika maeneo yao kwa siku zote zikiwemo sikukuu. Alitoa maagizo hayo Aprili 18, 2019 Kongwa, Dodoma alipokuwa akikagua utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini; ambapo pia aliwasha umeme katika vijiji vya Ngonga na …

Soma zaidi »

HIFADHI YA NGORONGORO KUENDELEA KUVUTIA WATALII ZAIDI – DKT.MANONGI

Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuendelea kuvutia watalii wa ndani na nje ya nchi ili kuongeza mchango wa sekta hiyo katika pato la Taifa na kuchochea ustawi wa wananchi. Hayo yamesemwa na Mhifadhi mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Fredy Manongi wakati wa kipindi cha ‘TUNATEKELEZA’  ambapo alieleza kuwa dhamira ya …

Soma zaidi »

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha jumla ya Shilingi bilioni 55,175,163,302 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo kwa Wizara ya Katiba na Taasisi zake. Kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 47,283,566,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na mishahara na shilingi Bilioni 7,891,598,000 …

Soma zaidi »

SHIRIKA LA SUN FLOWER KUJENGA KIWANDA NCHINI

Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na uzalishaji wa Kilimo cha Alizeti {Sun Flower} la Alemdar kutoka Nchini Uturuki limeonyesha nia ya kutaka kujenga kiwanda kitakachozalisha Bidhaa tofauti kwa kutumia malighafi ya Maua hayo katika azma ya kuitikia wito wa Serikali wa kuwa Nchi ya Viwanda katika kipindi kifupi kijacho. Ofisa Mkuu …

Soma zaidi »

SERIKALI KUIMARISHA MFUMO MADHUBUTI WA KIKATIBA NA KISHERIA

Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imejipanga kuimarisha mfumo madhubuti wa kikatiba na kisheria ili kufanikisha utekelezaji wa sera na mipango kwa maendeleo ya Taifa. Hayo yamesemwa leo Bungeni  jijini Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt. Augustine Mahiga (Mb) alipokuwa akiwasilisha Bungeni Mpango na Makadirio ya …

Soma zaidi »