Recent Posts

SOKO LA UNUNUZI NA UUZAJI MADINI MKOA WA KATAVI, LAZIDI KUIMARIKA

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Juma Homera amefanya ziara katika  mgodi wa Dilifu wa wachimbaji wadogo na mgodi mkubwa wa Katavi, Kapufi mining. Akizungumza katika ziara hiyo mkuu wa Mkoa amewaasa wachimbaji kutumie soko ya madini lilolifunguliwa mkoani humo kuuza madini yao Homera ameahidi  kupambana na watoroshaji wa madini ya …

Soma zaidi »

TUMIENI UMEME KUANZISHA MIRADI YA MAENDELEO – DKT. KALEMANI

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaasa wananchi wa Kitongoji cha Mwamagili, Wilaya ya Chato, mkoani Geita kutumia umeme aliowawashia rasmi jana, Juni 30, 2019 kwa kuanzisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo.   Akizungumza na wananchi hao muda mfupi kabla ya kuwasha umeme katika nyumba ya mkazi wa kitongoji hicho, Kashonele …

Soma zaidi »

PROF KABUDI ZIARANI FALME ZA KIARABU

Tanzania na Nchi ya Falme za Kiarabu zimekubaliana kuendelea kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kiuchumi ikiwa ni pamoja na kushirikiana katika masuala ya usalama wa eneo la Ghuba na bahari ya Hindi pia kusaidia kuimarisha hali ya usalama katika nchi za Somalia na Sudan. Hayo yamebainika wakati wa ziara ya …

Soma zaidi »