Katika kuhakikisha kuwa Mkoa wa Mtwara unakuwa na umeme wa uhakika kwa muda wote, Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewaeleza wafanyabishara na wawekezaji wa Mkoa huo kuwa, Serikali ipo mbioni kujenga mitambo miwili mipya ya umeme Alisema hayo, Septemba 25, 2019 wakati alipokuwa ajibu hoja za wadau wa maendeleo …
Soma zaidi »Recent Posts
LIVE:MKUTANO MKUU JUMUIYA YA WAJIOLOJIA 2019 – MAADHIMISHO YA MIAKA 50
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAZIWA CHA ASAS MJINI IRINGA
NDITIYE ARIDHISHWA NA UPATIKANAJI WA MAWASILIANO KIGOMA
Serikali imefanya ukaguzi wa upatikanaji wa huduma za mawasiliano mkoani Kigoma na kuridhishwa na hali ya mawasiliano mkoani humo kwa kubaini kuwa wananchi wanapata huduma za mawasiliano na wanawasiliana kwa kutumia mitandao ya kampuni za simu iliyopo Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amesema kuwa ameridhishwa na …
Soma zaidi »SERIKALI KUVUNA MABILIONI KUPITIA USAMBAZAJI GESI ASILIA VIWANDANI
Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), inatarajia kukusanya kati ya shilingi milioni 85 hadi 120 kwa mwezi, sawa na shilingi bilioni 1.02 hadi 1.4 kwa mwaka kutokana na matumizi ya gesi asilia katika kiwanda cha Lodhia kilichopo Mkuranga, ambayo hadi sasa ni futi za ujazo …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA ASHIRIKI KWENYE MIAKA 25 YA CHUO KIKUU HURIA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFUNGUA MAONYESHO YA PILI YA TEKINOLOJIA YA DHAHABU MJINI GEITA
WAZIRI MKUU MAJALIWA AFAFANUA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YA RAIS DKT. MAGUFULI KUHUSU MAPENDEKEZO YA KUPATA UFUMBUZI WA MIGOGORO YA MATUMIZI YA ARDHI NCHINI
Serikali imeridhia kufuta mapori tengefu 12 yenye ukubwa wa ekari 707,659.94 ambayo yamepoteza sifa na imeamua yagawiwe kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za makazi, kilimo na mifugo. Uamuzi huo umefikiwa (Jumatatu, Septemba 23, 2019) kweye kikao cha Baraza la Mawaziri kilichoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




