Recent Posts

KITUO CHA GESI ASILIA CHA SONGAS CHATAKIWA KUWASILISHA MPANGO KAZI

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Sima ameagiza kituo cha kupokea gesi asilia cha Songas eneo la Somanga kuwasilisha mpango kazi wa usimamizi wa mazingira unaoonesha madhara na hatua zinazochukuliwa pindi yanapotokea maafa. Sima alitoa agizo hilo jana wakati wa ziara yake akiwa ameambatana na …

Soma zaidi »

MUHIMBILI IMEPIGA HATUA KUBWA UTOAJI WA HUDUMA ZA KISASA KWA GHARAMA NAFUU

Serikali imeendelea kutekeleza ahadi zake kwa wananchi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya Afya ambayo imepewa kipaumbele ili kuwawezesha wananchi kupata huduma zilizobora kama vile upatikanaji wa dawa, vipimo ambavyo vilikuwa vinapatikana nje ya nchi. Katika miaka Minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, Hospitali ya Taifa Muhimbili imepiga hatu …

Soma zaidi »

DKT KALEMANI ATAKA TANESCO IFANYE KAZI KAMA KAMPUNI ZA SIMU

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaagiza mameneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuwafuata wamiliki wa viwanda, migodi ya madini na hoteli kuwashawishi watumie umeme ili kuzalisha kwa tija hali itakayolipatia shirika hilo mapato zaidi kutokana na malipo ya umeme. Akizungumza na Kamati ya Ulinzi na Usalama ofisini kwa …

Soma zaidi »