Recent Posts

SERIKALI YANEEMESHA WACHIMBA MADINI

Serikali kupitia Mradi wa Usimamizi Endelevu wa Rasilimali Madini (SMMRP), imeendelea kunufaisha wachimbaji wadogo wa madini kwa kuanzisha na kuboresha mifumo mbalimbali itakayosaidia kukuza sekta ya madini pamoja na kutatua changamoto zinazowakabili wachimbaji wadogo. Ujenzi wa Kituo cha Umahiri kilichopo katika Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu kunatokana na Sera ya …

Soma zaidi »

TUNAZO FEDHA ZA KUKAMILISHA HOSPITALI YA UHURU – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewahakikishia wananchi kuwa Serikali inayo fedha za kutosha kukamilisha ujenzi wa Hospitali ya Uhuru. Rais Magufuli amesema hayo leo alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ospitali hiyo inayojengwa wilayani Chamwino, Dodoma. …

Soma zaidi »

LIVE: ZIARA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 22 Novemba, 2019 ataweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Uhuru katika eneo la Maduka Chamwino, ataweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa nyumba 118 za askari polisi katika eneo la …

Soma zaidi »