Recent Posts

TPDC YAOKOA TRILIONI 12.7 KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) katika kipindi cha miaka minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano imefanikiwa kukoa kiasi cha Tsh. Trilioni 12.7 kwa kutumia gesi asilia katika kuzalisha umeme badala ya kutumia fedha za kigeni kuagiza mafuta. Hayo yamesemwa leo (Ijumaa Desemba 13, 2019) Jijini …

Soma zaidi »

MINADA 6 YA KOROSHO MSIMU WA MWAKA 2019/2020 YAINGIZA BILIONI 406.3

Zao la korosho katika msimu wa kilimo wa mwaka 2019/2020 limeingiza zaidi ya Bilioni 406.3 kupitia minada sita ambayo imekwishafanyika kwa nyakati tofauti. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo tarehe  13 Disemba 2019 wakati akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Gelasius Byakanwa mara baada ya …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU NISHATI AKAGUA MITAMBO YA GESI SONGONGO NA MNAZI BAY

Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua, amefanya ziara ya kikazi katika mitambo ya kuzalisha, kuchakata na kusafirisha gesi asilia iliyopo kisiwani Songo Songo mkoani Lindi, na ile ya Madimba na Mnazi Bay Mkoani Mtwara kwa lengo la kukagua maendeleo ya uzalishaji na uchakataji wa Gesi Asilia katika maeneo …

Soma zaidi »

UMEME UMEBADILI MAISHA YA WANA-RUVUMA – RC MNDEME

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme ameipongeza Serikali kwa kuunganisha umeme wa gridi ya Taifa mkoani humo, ambao umebadili hali ya maisha ya wananchi husika kutoka kwenye uduni na kuwa bora zaidi. Alikuwa akieleza hali ya upatikanaji umeme mkoani Ruvuma kwa Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani na Ujumbe …

Soma zaidi »

NHIF YATAJWA KUCHANGIAMAGEUZI SEKTA YA AFYA

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umetajwa kuwezesha mageuzi yenye tija katika sekta ya afya katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano Akizungumza waandishi wa habari leo, Desemba 12, 2019 Jijini Dodoma kuhusu mafanikio ya mfuko huo, Mkurugenzi Mkuu wa mfuko huo Bw. Bernard …

Soma zaidi »

ACHENI KULALAMIKA, TENGENI FEDHA KULIPIA UMEME – DKT KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewataka baadhi ya wakurugenzi na wenyeviti wa halmashauri za wilaya ambao wamekuwa wakilalamika kuwa taasisi za umma katika maeneo yao hazina umeme, waachane na malalamiko, badala yake watenge fedha za kulipia huduma hiyo ili wapatiwe umeme. Aliyasema hayo kwa nyakati tofauti Desemba 11, 2019 …

Soma zaidi »