Recent Posts

NAIBU WAZIRI NDITIYE AELEKEZA SHIRIKA LA POSTA KUFANYA KAZI KIDIJITALI

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye amelielekeza Shirika la Posta Tanzania (TPC) kufanya kazi kidijitali kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuendana na kasi ya Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhandisi …

Soma zaidi »

RAIS DKT. SHEIN AFUNGUA DARAJA LA KIBONDE MZUNGU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa ujenzi wa barabara na daraja la Kibonde Mzungu ni uthibitisho wa Mapinduzi kwani kabla ya Mapinduzi hapakuwepo madaraja na barabara nzuri kama zinazojengwa hivi sasa hapa Zanzibar. Rais Dk. Shein aliyasema hayo leo katika hotuba …

Soma zaidi »

RAIS WA ZANZIBAR DK ALI MOHAMED SHEIN ATUNUKU NISHANI IKULU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ametunuku Nishani ya Mapinduzi, Nishani ya Utumishi Uliotukuka pamoja na Nishani ya Ushujaa kwa Viongozi, Watumishi wa Umma, Maafisa na Wapiganaji wa Idara Maalum za SMZ na wananchi mbali mbali wenye sifa maalum. Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI WA AFYA AWATAKA WAZAZI KUONGEA NA WATOTO WAO

Mkoa wa Iringa kwa kipindi cha Januari mpaka Novemba 2019 umekuwa na matukio takribani 404 ya vitendo ya ukatili wa kingono kwa watoto ikiwa ni tatizo kubwa linalowakabili watoto katika malezi na makuzi yao nchini. Hayo yamebainika mkoani Iringa wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Afya, Mendeleo ya Jamii, …

Soma zaidi »