Recent Posts
KAMPUNI YA SIGARA TANZANIA(TCC) KUTOA MSAADA WA VIFAA MBALIMBALI KWA WATU WENYE ULEMAVU ZANZIBAR
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba utayari wa Kampuni ya Sigara Tanzania {TCC}wa kuwa karibu na watu wenye ahitaji maalum ni jambo la msingi linalopaswa kuendelea kuunga mkono na Taasisi nyingine hapa Nchini. Balozi Seif Ali Iddi alisema hayo Ofisini kwake Vuga Mjini …
Soma zaidi »WAZIRI SIMBACHAWENE ATOA WIKI MOJA KUREKEBISHWA KWA DOSARI KATIKA MACHINJIO YA MSALATO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene hii amegoma kufungua machinjio ya Msalato jijini Dodoma kwa kutokidhi vigezo vya ubora vinavyoridhisha ikiwemo ukarabati wa kiwango cha chini na kutoa muda wa wiki ya moja kurekebisha dosari zilizobainika. Ametoa uamuzi huo wakati akitembelea jengo …
Soma zaidi »LIVE: RAIS MAGUFULI KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI NYUMBA ZA MAAFISA NA ASKARI WA MAGEREZA, UKONGA DSM
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ashiriki hafla ya Kukabidhi nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Ukonga Jijini Dar es salaam. Novemba 29, 2016 Rais Maguli aliagiza kutolewa kwa shilingi Bilioni 10 kwa ajili ya kutatua tatizo la makazi la Gereza hilo …
Soma zaidi »SERIKALI YAZIDI KUBANA MIANYA YA WIZI WA MAPATO YA NDANI
Seriakli imezidi kubana mianya ya wiza wa mapato ya ndani katika Mamlaka za Serikali za mitaa kwa kukabidhi mashine za kukusanyia mapato kwa njia ya kielektroniki 7227 zenye mfumo madhubuti wa kudhibiti wadanganyifu kucheza na mashine hizo. Zoezi la kukabidhi mashine hizo zenye muonekano unaofanana na utambulisho wa Serikali wakati …
Soma zaidi »BALOZI SEIF: JUKUMU LA WATOTO WA SASA NI KUSOMA KWA BIDII ILI KUENDELEZA DHANA YA MAPINDUZI
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema Watanzania wanapoadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar lazima wale walioshuhudia wajikumbushe wakati kile Kizazi Kipya kinapaswa kusoma Historia ili kujua vyema dhamira iliyopelekea kufanywa kwa Mapinduzi hayo. Balozi Seif Ali Iddi ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na …
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA NYUMBA ZA KWAHANI JIJINI ZANZIBAR
LIVE CATCH UP: RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI UNGUJA KWA AJILI YA SHEHERE ZA MIAKA 56 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
MWANAFUNZI WA MALANGALI AINGIA KUMI BORA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
#SisiTumeona SISI WATANZANIA TUNAWEZA Hivi sasa watoto wetu wanapata elimu bure bila malipo! ——————————— Matokeo ya Kidato cha Nne yametoka. Matokeo haya ni muhimu zaidi kwa Taifa letu sababu kadhaa. Kwanza; Haya ni matokeo ya kidato cha Nne cha kwanza kutoka baada ya Serikali kupitisha uamuzi wa wanafunzi wa elimu …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+




